Nenda kwa yaliyomo

Fred Trump

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frederick Christ Trump (Oktoba 11, 1905 – Juni 25, 1999) alikuwa mhandisi mwendelezaji majengo na mfanyabiashara nchini Marekani. Alikuwa baba wa Donald Trump, rais wa 45 na 47 wa Marekani, pamoja na watoto wengine wanne. Alijenga mali yake kwa kuendeleza na kujenga miradi ya makazi ya bei nafuu na nyumba za familia moja huko Queens na Brooklyn, New York[1][2].

  1. ↑ "Controller". Brooklyn Daily Eagle. Desemba 23, 1951. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 5, 2018. Iliwekwa mnamo Oktoba 4, 2018 – kutoka Newspapers.com.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Ryan, Harry (Februari 11, 1961). "Real estate". New York Daily News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 5, 2018. Iliwekwa mnamo Oktoba 4, 2018 – kutoka Newspapers.com.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fred Trump kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.