Howard Schultz
Mandhari
Howard D. Schultz (alizaliwa Julai 19, 1953) ni mfanyabiashara na mwandishi nchini Marekani ambaye alikuwa mwenyekiti na afisa mkuu mtendaji wa Starbucks kuanzia 1986 hadi 2000 akawa tena kuanzia 2008 hadi 2017, na alikuwa afisa mkuu mtendaji wa muda kuanzia 2022 hadi 2023.[1] Schultz alimiliki timu ya Seattle SuperSonics ya mpira wa kikapu kuanzia 2001 hadi 2006.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Famous birthdays for July 19: Brian May, Anthony Edwardsl". United Press International. Julai 19, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 19, 2019. Iliwekwa mnamo Agosti 7, 2019.
Businessman Howard Schultz in 1952 (age 66)
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Smith, Allan (Januari 30, 2019). "Howard Schultz says he's not a Democrat, surprised by backlash". MSNBC. Iliwekwa mnamo Januari 30, 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Howard Schultz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |