Nenda kwa yaliyomo

MC Ren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lorenzo Jerald Patterson (alizaliwa 16 Juni, 1969),[1] anayejulikana kitaaluma kwa jina lake la kisanii MC Ren, ni Rapa, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi wa Marekani kutoka Compton, California. Yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa kampuni huru ya kurekodi Villain Entertainment.[2]

  1. ↑ "Happy Birthday, MC Ren! - XXL". XXL Magazine (kwa Kiingereza). Juni 16, 2018. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2022.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Here's What MC Ren Has Been Up To Since N.W.A". Bustle (kwa Kiingereza). Agosti 14, 2015. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu MC Ren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.