Shealtieli
Mandhari

Shealtieli (kwa Kiebrania: שְׁאַלְתִּיאֵל; Šəʾaltīʾēl, yaani "Nilimuomba Mungu") alikuwa Myahudi wa karne ya 6 KK, mwana wa mfalme Yekonia [1] aliyepelekwa uhamishoni Babuloni mwaka 597 KK akafungwa huko miaka 37 [2].
Kupitia mwanae Zerubabeli Shealtieli alipata kuwa babu wa Yesu Kristo kadiri ya Injili ya Mathayo (1:12) na vilevile ile ya Luka (3:27)[3].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shealtieli kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |