Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
- wingi wa replica.
- nakala halisi au ya karibu sana na kitu cha asili, hasa kazi ya sanaa, sanamu au kitu cha kihistoria.
- The museum displays replicas of ancient weapons. — Makumbusho yanaonyesha nakala za silaha za kale.
- These replicas are very accurate. — Hizi nakala zinafanana sana na za asili.