Wabunda
Mandhari
Wabunda (kwa lugha yao: Bambunda, Ambuun, Mbuun) ni kabila la watu wanaoishi hasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (mkoa wa Kwilu).
Lugha ya wengi wao ni Kiteke-Fuumu, mojawapo kati ya lugha za Kibantu. Dini yao ya kawaida ni Ukristo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wabunda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |