Wasanga
Mandhari
Wasanga (pia: Waluba-Ngarenganze, Waluba-Sanga, Waluba wa Kusini) ni kabila la watu ambao wanaishi hasa kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka 1991 walikadiriwa kuwa 431,000. Lugha yao ni Kisanga, jamii ya Kiluba-Katanga.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Arnot, Frederick Stanley (1969). Garenganze: or, Seven years' pioneer mission work in central Africa. Routledge. ISBNÂ 0-7146-1860-8.
- Kisangani, Emizet F.; Bobb, F. Scott (2010). Historical Dictionary of the Democratic Republic of the Congo. Scarecrow Press. ISBNÂ 978-0-8108-5761-2.
- Kubik, Gerhard (2010). Theory of African Music. Juz. la 1. University of Chicago Press. ISBN 978-0-226-45691-1.
- Ngondji, Fungula Fumu (2011). The Kongo of My Ancestors: In the Memory of Tata Kimbangu and Patrice Lumumba. Tate Publishing. ISBNÂ 978-1-61739-916-9.
- "Sanga - A language of Democratic Republic of the Congo". Ethnologue. Iliwekwa mnamo 2011-12-13.
- Vail, Leroy (1989). "The Creation of Tribalism in Southern Africa". London Berkeley: Currey University of California Press.
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |