Nenda kwa yaliyomo

Wakele (Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wakele)

Wakele (kwa lugha yao: Lokele; pia: Ekele) ni kabila la watu wanaoishi hasa kusini mwa mto Kongo, kati ya Kisangani na Isangi. Ni tawi la Wamongo linalokadiriwa kuwa na watu 160,000-600,000, kadiri ya hesabu tofauti.

Lugha ya wengi wao ni Kikele ila wanatumia pia Kiswahili na Kingala, ambazo ni kati ya lugha za Kibantu. Dini yao ya kawaida ni Ukristo. Kazi yao ni hasa uvuvi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakele (Kongo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.