Nenda kwa yaliyomo

Wanyanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanyanga (kwa lugha yao: Banyanga, Banianga) ni kabila la watu wa Kibantu wanaoishi hasa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (mkoa wa Kivu Kaskazini), mpakani mwa Uganda na Rwanda[1]. Mwaka 1994 walikadiriwa kuwa 150,000.

Lugha ya wengi wao ni Kinyanga, mojawapo kati ya lugha za Kibantu, pamoja na Kiswahili. Dini yao ya kawaida ni Ukristo. Wana uhusiano na Wanande na Wahunde.

  1. ↑ James Stuart Olson, "Nyanga", The Peoples of Africa: An Ethnohistorical Dictionary (Greenwood Publishing Group, 1996), 454.
  • Biebuyck, Daniel P. De hond bij de Nyanga: ritueel en sociologie. Gembloux: J. Duculot, 1956.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.