Nenda kwa yaliyomo

Wamongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanawake Wamongo miaka 1900-1915 hivi.

Wamongo (kwa lugha yao: Bomongo) ni kabila la watu wanaoishi hasa katika mikoa mingi ya kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanakadiriwa kuwa kundi kubwa zaidi nchini.

Lugha ya wengi wao ni Kimongo na Kingala, ambazo ni kati ya lugha za Kibantu. Dini yao ya kawaida ni Ukristo.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamongo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.